
John Hatch mmoja wa Friends of Tanzania ambae anaishi Nchini Marekani akiwa amevaa Tai zilizotengenezwa maalum wakati Tanganyika inapata Uhuru 9 December, 1961 John Hatch aliwahi kufanya kazi Tanzania wakati huo miaka ya 1960 na hapa ilikua siku ya Ijumaa January 28, 2011 kwenye Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani siku ambayo Balozi Mwanaidi Maajar alipowaalika Friends Of Tanzania kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo Washington, DC.

Tai ya Uhuru inavyoonekana kwa karibu
Mmoja wa wageni waliofika kwenye sherehe za miaka 50 ya Uhuru Nchini Uingereza akiwa amevaa tai ya Uhuru ambayo aliipata wakati Tanzania Bara inapata Uhuru wake 9 December, 1961 wakati huo ikiitwa Tanganyika.
Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Mh. Peter Kalleghe na mke wake wakiwa katika picha ya pamoja baadhi ya watu (kati) waliokuwpo wakati Tanzania Bara inapata uhuru mwaka 1961
No comments:
Post a Comment