Umesema ukweli kabisa mwenzangu uliyetangulia Wasanii pamoja na Mtangazaji wao Zamaradi wote ni Upuuzi Mtuupuuu!! Huyo Wema anajitetea nini wakati hajatulia anasema yeye siyo Malaya huku anabadilisha Wanaume kila kukicha, Wazungu wanasema "Whats Going Around Comes Around" Maana yake Yale unayowafanyia Wenzio nawewe Yatakurudia Siku Moja" Kumbe Wema Inakuuma? Tulizana ili Uheshimiwe, kila siku unajisema wewe "STAR" Ma-Star wa Ulaya hawajitangazi bali Matendo yao ndiyo yanayojitangaza kwa Mambo yao Mazuri wanayoyaonyesha kama vile Music, Filamu,Sijui kuhusu Irene lakini Wema Mmhhh!!! Pole Diamond na Mama Diamond Muonye Kijana wako hapo kwa Wema amaula wa Chuya!!
2 comments:
Upuuzi mtupu,yani wasanii wa bongo no privacy in their private life or dignity,wapuuzi woote na huyo presenter wao mfyuuuu

Post a Comment