ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 25, 2011

WABONGO COLUMBUS, OH WAJUMUIKA KWA SALA NA KUMPA POLE MARK ANTHONY SAWA

Mchungaji Koya Makundi akindesha ibada kwa ajili ya Baba mzazi wa Mark Anthony Sawa, marehemu mzee Said Sawa aliyefariki Tanzania
 
Kushoto ni  Mark Anthony Sawa ambae amefiwa na Baba yake mzazi nyumbani Tanzania hapa akiwa mkewe Bi Rose Urio
 Watanzania waliojumuka pamoja katika ibada na kumfariji mwenzao katika kipindi hiki kigumu .
 Watanzania wa Columbus,Ohio wakijumuika pamoja katika Ibada na kumfariji mwenzao, Mark Anthony Sawa aliyefiwa na Baba yake Tanzania.
 Watanzania wa Columbus,Ohio wakijuika pamoja kumfariji mwenzao.
 Ndugu na jamaa waliojumuika pamoja kwenye msiba wa Baba mzazi wa Mark Anthony Sawa nyumbani kwake Columbus, Ohio.
 Mama mdogo wa Mark Anthony akiwa kwenye msiba.
 Watoto wakipata maakuli kwenye msiba huo ambao Watanzania waishio Columbus, Ohio walijumuika kwa Ibada ya msiba wa baba yake Mark Anthony Sawa, marehemu mzee Said Sawa.
 Ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwa mfiwa na kujumuika pamoja katika ibada ya marehemu mzee Said Sawa.
 Mark Anthony (kulia) akiwa akimsikiliza mchungaji (hayupo pichani) katika ibada ya kumuombea marehemu mzee Said Sawa ambe ni baba yake mzazi aliyefariki Tanzania.

Kama utapata nafasi msiba upo nyumbani kwa Mark Anthony Sawa.
Address:
4663 REFUGEE ROAD, 
COLUMBUS OH 43232

No comments: