
Watanzania Uturuki wakisherehekea sherehe za miaka 50 ya UHURU

Watanzania wa Uturuki wakijumuika pamoja katika kusherehekea Miaka 50 ya UHURU

Ni furaha tupu ndani ya miaka 50 kama wanavyoonekana Watanzania wa Uturuki.

Watanzania wakijumuika pamoja katika sherehe za miaka 50 ya UHURU wa Tanzania Bara

Watanzania wakijumuika pamoja kwenye sherehe za miaka 50 ya UHURU mjini Instanbul,Nchini Uturuki
No comments:
Post a Comment