Edgar na Flavia wakiwa katika sherehe yao ya kusherehekea miaka 10 ya ndoa yao iliyofanyika Jumamosi January 14, 2012 kwenye Hotel ya Hilton iliyopo uwanja wa ndege wa kimataifa wa BWI uliopo Baltimore, Maryland.
Edgar na Flavia wakiwa na wapambe wao kwenye sherehe ya miaka 10 ya ndoa yao iliyofanyika Jumamosi January 14, 2012 katika Hotel ya Hilton iliyopo uwanja wa ndege wa kimataifa wa BWI uliopo Baltimore, Maryland.
Edgar na Flavia wakiwa na wapambe wao wakijipakulia chakula kwenye sherehe yao ya kusherehekea miaka 10 katika ndoa iliyofanyika Jumamosi January 14, 2012 kwenye Hotel ya Hilton iliyopo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa BWI, Baltimore, Maryland.
Edgar na Flavia wakijiandaa kukata keki kweye sherehe ya kusherehekea miaka 10 ya ndoa yao iliyofanyika Jumamosi January 14, 2012 katika Hotel ya Hilton iliyopo uwanja wa ndege wa kimataifa wa BWI, Baltimore, Maryland.
Flavia akimlisha keki Edgar kwenye sherehe ya kusherehekea miaka 10 ya ndoa yao iliyofanyika January 14, 2012 katika Hotel ya Hilton iliyopo uwanja wa ndege wa kiamataifa wa BWI, Baltimore, Maryland.
Flavia akimlisha keki mtoto wao kwenye sherehe ya kusherehekea miaka 10 ya ndoa yao iliyofanyika Jumamosi January 14, 2012 katika Hotel ya Hilton iliyopo uwanja wa ndege wa kimataifa wa BWI, Baltimore, Maryland.
Edgar akimlisha keki Flavia kwenye sherehe ya kusherehekea miaka 10 ya ndoa yao katika Hotel ya Hilton iliyopo uwanja wa ndege wa kiamataifa wa BWI, Baltimore, Maryland.
Edgar akilishwa keki na mtoto wao kwenye sherehe ya kusherehekea miaka 10 ya ndoa yao iliyofanyika Jumamosi January 14, 2012 katika Hotel ya Hilton iliyopo uwanja wandege wa kiamataifa wa BWI, Baltimore, Maryland.
Mpambe wa Edgar, Dany Nyambibo kuoka Columbus, Ohio ambae ndie aliyekua mpambe wa Bwana Harusi miaka 10 iliyopita akiongea machache na kuwatakia Edgar na Flavia Heri na baraka nyingi na anatarajia miaka 10 mingine ijayo ifanyike sherehe nyingine kama hiyo.
Mpambe wa Flavia akiongea machache na kuwatakia heri na baraka nyingi na anatarajia miaka 15 mingine ijayo ifanyike sherehe nyingine kama hiyo.
Edgar kwa niaba yake, Flavia na familia yao akiongea machache ya kuwashukuru ndugu, marafiki na jamaa wote bila kusahau kamati ya maandalizi kwa kufanya sherehe ya miaka 10 ya ndoa yao ifanikie.
Edgar na Flavia wakifungua muziki kwenye sherehe ya miaka 10 ya ndoa yao.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
3 comments:
genes umemaliza na suit yako.....nina maana umefunika wanaume wote u look of the day...
tumaini katule umefunika ktk watu wote kwa siku ya jana......hebu nieleze shule gani umesomea kutengeneza hiyo ponytel maanake umependeza kushinda ponytel zote humo ndani......uko juuuuuu
shughuli ilikuwa classy sana hakuna washamba wachangamfu ambao wanaharibu shughuli za wenzao.safi sana!!!
FLAVIA NA EDGAR NI MFANO MZURI WA KUIIGWA,MWENYEZI MUNGU AWABARIKI KATIKA NDOA YENU.MUNGU AMBARIKI DESTINE BILA SHAKA ATAPATA MDOGO WAKE SOON IN JESUS NAME AMEN!
Post a Comment