ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 9, 2012

JK akutana na ujumbe wa Rais wa Gambia leo Ikulu, Dar es salaam

  Rais Jakaya kikwete akipiga picha ya pamoja na Waziri wa Uvuvi, Maliasili na Bunge wa Gambia na Mjumbe Maalumu wa Rais Yahya Jammeh,  Mh Lamin Kaba,  ambaye kamletea ujumbe toka kwa Rais huyo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2011.
Juu na chini ni Rais Jakaya kikwete akifanya mazungumuzo na Waziri wa Uvuvi, Maliasili na Bunge wa Gambia na Mjumbe Maalumu wa Rais Yahya Jammeh,  Mh Lamin Kaba,  ambaye kamletea ujumbe toka kwa Rais huyo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2011.
PICHA AN IKULU

No comments: