Pia ningependa kutoa shukrani za pekee kwa Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mh. Mwanaidi Maajar, Maafisa na wafanyakazi kwa ushirikiano na sapoti wanayonipa.
Shukrani zangu zingine ziwaendee wafanyakazi wenzangu kwa changamoto na mawazo wanayonipa kila siku asubuhi ninapokutana nao hii imekua chachu ya maendeleo ya Blog ya VIJIMAMBO
Shukrani zangu zingine zimwendeeTechnical Support wa Blog hii, JOJO kwa kazi nzuri anayofanya bila kujali muda wake kwa kuipa sura mpya Blog ya VIJIMAMBO kila kukicha.
Shukrani zangu za pekee zimwendee Kaley Pandukizi kwa kunianzishia njia ya kuendeleza Libeneke.
Shukrani zangu zingine ziwaendee wanalibeneke wenzangu wote Dunia hasa MICHUZI, JESTINA GEORGE,CHANGAMOTO YETU, MBEYA YETU, SUNDAY SHOMARI, SWAHILI VILLA, FULL SHANGWE, GLOBAL PUBLISHERS, WAVUTI, URBAN PULSE, HAKI NGOWI, 24 SEVEN 360 BILA KUMSAHAU SHAMIM.
----------------------------------------------------------------------------------------------
Wadau wa VIJIMAMBO tutakua na sherehe za miaka 2 ya Libeneke la VIJIMAMBO March 31, 2012 Mirage Hall, sherehe hizi ni bure kuanzaia kiingilio vinywaji na chakula sherehe hizi zinategemewa kuhudhuliwa na wageni mbali mbali ndani na nje ya USA
WOTE MNAKARIBISHWA

2 comments:
Mpwa.asante you nice men,but kabla ujafanya ,shuhuli yako.unatakiwa uongeshwe na maji ya chui au maji ya mbwa, maana unaroho nzuri unaupendo ,ujali mzee au kijana hata mtu akingombana na wewe ujali ,watu unawowapenda wanakupinga sana,lakini wewe unawaamini.something wrong you self ujuwi.hivi wewe una ndugu au mke wanatakiwa kukushuhulikia.ufunguke vema.
Mpwa,hiyo kali kweli unahela kila kitu bure .ningekuwa mimi ,pamoja na hela yangu.angalau wangeingia bure vinywaji ningeuza. maana watakuja watu wengi wakikosa vinywaji watasema.vile vile akuna mtu anayekataa cha bure .ubalozini wenyewe walitaka mchango sembuse.wewe.mmmm?fikiria mara mbili mbili.kabla ya uwamuzi.wakitu unachikifanya.washauri wako hao.mmm?.
Post a Comment