JK Akimpa pole mjane wa Marehemu Jeremia Sumary, Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha wa wa zamani aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es salaam. Hapa ni nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach, Dar es salaam jioni hii
JK akiweka sahihi kitabu cha maombolezo
JK akiongea na ndugu wa marehemu pamoja na Spika Anne Makinda na Mbunge wa Loliondo Mh Edward Lowassa ambaye ni mzazi wa binti aliyeolewa na mtoto wa marehemu Sumary
JK akitoa pole kwa wafiwa
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment