Keki ya kuukaribisha mwaka iliyotengenezwa na Farida inavyoonekana
Mh. Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mwanaidi Maajar akikata keki ya kuukaribisha mwaka 2012 katika Hafla fupi iliyofanyika nyumbani kwake Bethesda, Maryland Jumatatu January 2, 2012.
Mh. Balozi Mwanaidi Maajar akimlisha Keki Mjukuu wake Kai
Mh. Balozi akila keki akimpigia makofi mjukuu wake Kai baada ya kulisha keki.
Mh. Balozi Mwanaidi Maajar akimlisha keki mtoto wa Afisa Ubalozi, Suleiman Saleh
Juu na chini ni Henry Kent akifungua Champagn
Maafisa wa Ubalozi wakipiga picha ya pamoja na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar (wapili toka shoto waliokaa).
Wafanyakazi wa Ubalozi wakipiga picha ya pamoja na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar (wapili toka shoto waliokaa).
Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi wakipiga picha ya pamoja na Mh. Balozi Mwanaidi Maajar ( watatu toka kulia waliokaa).
Juu na chini Ilifika wakati wa kusakata Rhumba hapa wakicheza wimbo wa Maestro King Kiki wa kitambaa cheupe
No comments:
Post a Comment