Asha Baraka na Miss jestina George wakila pozi
Dj Q akijiachia
Frank Kutoka akisherekea Mwaka Mpya na Wadau
mdau akila pozi
Pit Stop London Palikua hapatosh
Wadau wakila pozi
wazungu nao walikuja kula bata
Salam,
Urban Pulse Creative na Miss Jestina George Blog wanapenda kuwashukuru wadau wote waliojitokeza kuja siku ya Jumamosi tarehe 31.12.2011 kusherekea nasi ndani ya kiota kipya cha maraha The Pit Stop 'Uwanja wa Nyumbani' bila ya kumsahau mkurugenzi wa ASET Asha Baraka katika party ya kuuga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 hapa jijini London. Kwa picha zaidi za bofya hapo chini
Tunawatakia kila la kheri katika mafanikio mema na changamoto mbalimbali ndani ya mwaka huu mpya tuliouanza 2012. Kaeni mkao wa kula kwa burudani na vipindi mbalimbali vipya kutoka Urban Pulse na Miss Jestina George Blog.
Wote Mbarikiwe.
Asanteni,
Urban Pulse Creative wakishirikiana na Miss Jestina George Blog
No comments:
Post a Comment