
Christavina Kusaga Cryor Enzi ya Uhai wake.
Familia ya Kusaga na Mume wa Christavina, Lavorn Cryor wanasikitika kutanga Kifo cha mpendwa wao Christavina Cryor kilichotokea 2 am (saa 8) usiku wa kuamkia leo Nyumbani kwake kwa Saratani ya Utumbo (Colon Cancer).

Lavorn Cryor akiwa na Mpendwa Mke wake Christavina kwenye Harusi yao iliyofanyika 2009.
Christavina alianza kuugua tangia August 2011 na kulazwa Holy Cross Hospital na baadae kuhamishiwa Georgetown University Hospital.

Christavina Cryor Enzi ya Uhai wake.
Na aliruhusiwa jana Feb 6, 2012 saa 3 usiku arudi nyumbani ni kama alikuja kumuaga mume wake na watoto ndipo ilipofika saa 8 usiku wa kuamkia leo Feb 7, 2012 akafariki.
Kutoka kushoto ni Hidaya, Teddy (Mke wa Gallus) na Christavina Cryor
Marehemu alizaliwa October 12, 1983, ameacha Mume na Watoto wawili, wakiume miaka 4 na wa kike miaka 2.
Katia husia, marehemu aliomba azikwe hapa kusudi awe karibu na wanae na mume wake.
Msiba upo
3237 75th Avenue Apt 201,
Landover, MD 20785.
Kwenye GPS wakati mwingine ukiingiza Landover inakataa na inapokataa ingiza Hyattsvile
Taarifa nyingine mtaarifiwa baadae tunaomba tujumuike pamoja tuweze kuwafariji wafiwa katika kipindi hiki kigumu kwao.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.
6 comments:
RIP Classmate
My form one stream A classmate...she was so full of life!
Poleni sana jamani, anaonekana alikuwa msichana mzuri sana, na mpole! May God bless her saul. I pray for comfort, strength, courage and acceptance to her husband, watoto--the innocent ones xoxo* as well as her close family and friends.
i,ll always miss ur presence....may ur soul rest in peace
Yep she was...and intelligent too!
Rest in peace Christavina my schoolmate 1997-2000 St Anthonys Mbagala.
Post a Comment