Dr. Steven Boniface Mwakalinga Mtanzania anaeishi Copenhagen, Nchini Denmark akiwa katika sherehe ya kumpongeza baada ya kukamata PHD ya Malaria Vaccine Development kutoka Copenhagen University faculty of medical and Health Sciences.
Dr. Steven Mwakalinga akiwa na familia yake.
Dr. Steven Mwakalinga (kulia) akipiga picha na mmoja wa marafiki zake waliofika kwenye sherehe hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Lyongade 30 uliopo Copenhagen, Denmark.
Dr. Steven Mwakalinga (kushoto) akipiga picha na mmoja ya jamaa, ndugu na marafiki waliofika kwenye sherehe hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Lyongade 30 uliopo Copenhagen, Denmark.
Dr. Steven Mwakalinga akifungua na kuonyesha zawadi alizopata kama pongezi za kukamata Nondo kutoka kwa Jamaa, ndugu na marafiki waliofika katika sherehe ya kumpongeza iliyofanyikia katika ukumbi wa Lyongade 30, uliopo Copenhagen, Denmark.
Dr. Steven Mwakalinga akiwa mwenye furaha huku akiendelea kufungua zwadi mbali mbali alizopewa kama pongezi kutoka kwa Jamaa, ndugu na marafiki.
Umoja wa Watanzania Nchini Denmark nao haukua nyuma hapa Dr. Mwakalinga akionyesha zawadi ya The fulanaazz aliyopata kutoka kwenye umoja huo.
Jamaa, ndugu na marafiki waliofika kumpongeza Dr. Mwakalinga (hayupo pichani) kwenye sherehe zilizofanyikia Lyondage 30, Copenhagen, Denmark.
George na Lilly wakipata picha ya pamoja kwenye sherehe za kumpongeza Dr. Steven Mwakalinga zilizofanyikia Lyondage 30, Copenhagen, Denmark.
Jamaa, ndugu na marafiki waliofika kwenye sherehe za kumpongeza Dr. Steven Mwakalinga alipokamata Nondo zilizofanyika Lyondage 30, Copenhagen, Denmark.
Jamaa, ndugu na marafiki waliofika kwenye sherehe za kumpongeza Dr. Steven Mwakalinga ilizofanyika Lyondage 30, Copenhagen, Denmark.
Marafiki waliofika kwenye sherehe za kumpongeza Dr. Steven Mwakalinga alipokamata Nondo ilizofanyika Lyondage 30, Copenhagen, Denmark.
Jamaa, ndugu na marafiki waliofika kwenye sherehe za kumpongeza Dr. Steven Mwakalinga ilizofanyikia Lyondage 30, Copenhagen, Denmark.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
3 comments:
Hongera sana !!
It was nice kwa kweli
very good bro..congrats!!
Post a Comment