Amos Cherehani akieleza jambo muda mfupi kabla ya Hatrambe ya Christavina Haijaanza.
Sunday Shomari ambae ndie atakaeendesha Harambee hii inayoendelea sasa hivi College Park ndio imeaanza muda si mrefu kama hujafika bado unawahi kabisa kulia ni Latifa.
Mchungaji Ferdnand Shideko akianza kwa sala
Juu na chini ni Watanzania waliojumuika kwenye mnada wa Christavina Cryor.
No comments:
Post a Comment