Mabondia Furaha Nganda na Monica Mwakasanga wakitunishiana misuri baada ya kupima uzito leo
Bondia Maneno Osward akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika katika ukumbi Wa PTA sabasaba jumamosi ya Feb 25 (kushoto) ni mpinzani wake Rashidi Matumla kulia ni katibu wa PST, aNTON Luta
Mabondia Antoni Mwakapalila akitunishiana misuri na bondia Shabani Kaineko baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa kirafiki utakaofanyika Kesho katika ukumbi wa PTA Sabasaba
(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
1 comment:
Mbona maziwa nje nje hii sio fresh jamani.
Post a Comment