
Watanzania Itika Mwakasula na Sitti Mtenvu ambao wameigiza katika sinema ya Lost In Abroad ambayo Jumamosi Feb 25, 2012 kwa mara ya kwanza ilionyeshwa Dallas, Texas. katika picha toka kushoto ni waigizaji Yvonne, Itika, Sandra na Paul.

Wadau wa Dallas waliojitokeza kuwaunga mkono dada zao wa Kitanzania waliocheza sinema hii ya Lost In Abroad ambayo kwa mara ya kwanza ilionyeshwa Dallas, Texas katika kumbi za Majestic. kutoka kushoto ni Evans Lukosi, Annie na Kitova Mungai.

Itika Mwakasula (kushoto) akiwa na mcheza sinema mwenzake Yvonne kwenye kumbi za Majestic ambako sinema ya Lost In Abroad ilionyeshwa kwa mara ya kwanza.

kutoka kushoto ni Yvonne, Aziza, Ngala, Itika, Stti na dulcinee wakipata picha ya pamoja kwenye kumbi za Majestic, Dallas, Texas ambako simena ya Lost In Abroad ilionyeshwa kwa mara ya kwanza.

Kutoka kushoto ni Angel, Irine, Frida, Paul Mungai wakipata picha ya pamoja walipokwenda kwenye kumbi za Majestic kuwaunga mkono dada zao wa Kitanzania waliocheza sinema ya Lost In Abroad
Itika (kati) akipata picha ya pamoja na marafiki zake.
1 comment:
Tukio moja lakini linabeba picture nyingi sana kaka kha!
Post a Comment