ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 5, 2012

MZEE YUSUF JINSI ALIVYOPAGAWISHA DMV

Wadau wakipagawika na mipasho ya mfalme wa Taarab Mzee Yusuf kwenye show ya kukata na shoka ilyofanyika DMV.
Ilikua na kulambishwa ndani ya DMV.
Hayawi hayawi sasa yamekua, Mzee Yusuf ndani ya DMV.
Ni kutunza kwa kwenda mbele mzee Yusuf alivyopagawisha mashabiki.
Ndio manaake, Mfalme akiongea watu wote wanafuata ni raha mpaka kumoyo.
Kweli ilikua si mchezo.
Wadau wakipagawika na wimbo wa mzee Yusuf, Dkt wa mapenzi.
Ni raha kwa kwenda mbele, Rendezvous palikua hapatoshi.
Kweli mfalme huna mpinzani.
Mambo ya Bata hayo.

No comments: