Advertisements

Sunday, March 18, 2012

AJ & HELEWA'S WEDDING RECEPTION @ MARTIN'S CROSSIWINDS GREENBELT, MARYLAND

 
Bwana na Bibi Harusi wakichum kwenye reception ya harusi yao iliyofanyika Martin's Crosswinds iliyopo Greenbelt Jumamosi March 17, 2012.
AJ akimuimbia Mke wake Bi Helewa alipokua kiingia ukumbini huku akiwa anasindikizwa na kaka yake wa Seattle, Washington State. 
Bi Harusi, Helewa akiingia Ukumbini akisindikizwa na Kaka yake wa Seattle.
Baada ya kukabidhiwa Mkewe, maharusi wakichum kwa furaha.
 
wawili wa kushoto ni wapambe wa Maharusi na wawili kulia ni wasimamizi wa Harusi ya AJ na Helewa.
 
Wasimamizi wa Harusi ya AJ na Helewa
Bi Harusi akimlisha keki Bwana Harusi.
AJ akimlisha keki mkewe
AJ na Mkewe wakigonganisha glass ya vinywaji laini.
AJ na mkewe wakifungua Muziki.
Mrs Katule ndie aliyekua mshereheshaji wa harusi ya AJ na Helewa.
Afisa Ubalozi, Abbas Missana akitoa nasaha kwa maharusi kwa niaba ya Baba Mzazi wa AJ.
Aunty Ashura (Michelle Obama) akiwashukuru wageni waalikwa kwa niaba ya Mama Mzazi wa AJ
 Wageni walikwa waliojumuika pamoja na maharusi katika kusherehekea Harusi yao.
 Wageni waalikwa walikuja kutoka sehemu mbalimbali nje na ndai ya Marekani wakipata picha ya pamoja.
Picha na NY Ebra
kwa picha zaidi Bofya Read More




11 comments:

Anonymous said...

Thank u Ebra for the beautful pics!!!

Anonymous said...

You welcome my dear...!!!

Anonymous said...

Heee makubwa ndio kwanza nimejua jana dula kumbe mzanzibar!tena sio mzazibari ni mkomoro mweusi wa sechelys island kabila la mngazija nilijua mualusha au mbara mwenzetu,maanake nilishangaa hii h=arusi imebezi sana kwa azaznzibari na wasimamizi wote wa kisiwani mbona yeye ni mbara?nikaulizia kumbe jamaa maukoo yao yako karibu njemba mtu wa chapati,gahawa,biriani na udi,mshikaji anajichanganya na wahuni sio,sio legelege,nice to know kumbe wa visiwani.

Anonymous said...

wee ache ubara na uzanzibar kama ulishazoea mambo yakubagua usilete hapa yeye kama mzanzibar.mngazija sisi inatuhusu nini?sisi tunajua huyu ni dulla na tunakuja harusini hakuna uzanzibar wala nini nyinyi ndiyo mnatuharibia umoja wetu wakitanzania

Anonymous said...

MMEONA EEH JAMAA MBAGUZI SANA HAPO JUU,WANALALAMIKA WEUSI KWA WAZUNGU,KUMBE NA SISI NDIO WALE WALEE!NANI ANATAKA KUJUA DULA KABILA GANI,TUNAJUA KASIMAMIA HARUSI MCHIZI SAFI NA KAPENDEZA SANA BASI!SIO BUSINESS YETU KUMCHUNGUZA MTU KABILA GANI,AU ANAFANYA NINI PALE MBELE TANZANIA DAIMA TUKO PAMOJA BARA NA VISIWANI OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!KALAGABAHO NA UBAGUZI WAKO.

Anonymous said...

Duu hii noma DC kwa majungu ndio maana hatuendelei,watu mnachunguza hadi kabila ya mtu!ama kweli ukishangaa ya musa......ya firauni!mmmh,dc mwisho.

Anonymous said...

Mwishowe mtaanza kusema dula sio mtanzania mnataka pasipoti ya comoro.Tukue jamani tuache kuchungunguzana,haifai hii.

Anonymous said...

Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!inaelekea watu wamemiss" ZE UTAMU" maanake watu dizaini hizi wanapenda sana kuchanana kwa maneno,lakini hapa kwa luke joe mwenyewe mpwa hampati kitu!!haaaaaaaaaa,kwiiiiiiiiii.

Anonymous said...

Ok now!..lets get back to comments that really matter here people!!! May God continue to Bless Maharusi wapya, Aj na Helewa. It was such a Beautiful and Inspiring wedding!...Luv Lives!,...WALISEMA HAYAWI...MBONA YAMEKUWA?..WHOEVER THAT WAS AGAINST THIS UNION..CAN EAT THEIR HEARTS OUT!

Anonymous said...

This wedding was AWESOME! WONDERFUL! AND UNFORGETABLE!!! AJ and HELEWA, Thank you for sharing your day with us. You have moved a lot of people with the LOVE and BOND you share with one another. God Bless!!!

Anonymous said...

Congratulations to the newly weds!....Mpewa hapokonyeki...aliye pewa kapewa. Helewa umepewa, hakuna wakukupokonya...Baby Girrrl!, ENJOY YOUR MAN!