ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 3, 2012

CHEKA UNENE!

Mdada kachukua simu ya mpenzi wake akaibeep ili aone mpenzi wake kamsave kwa jina gani. Akajua litatokea jina kama Wife, Honey, Sweety au Mupenzi. Lahaula jina lililotokea Agustino Fundi Majeneza

Na Lilian Tairo

No comments: