ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 25, 2012

House Birthdate party Ya Bahia yafana Nyumbani kwake Brooklyn, NY

Bahia Mahundi akiwa na keki ya siku yake ya kuzaliwa  alipojumuika na ndugu marafiki na jamaa waliofika nyumbani kwao Brooklyn, New York Nchini Marekani.
 
Ndugu, marafiki na jamaa waliojumuika pamoja kwenye siku ya kuzaliwa ya Bahia Mahundi wakipata chakula cha pamoja.
Juu na chini ni  Ndugu, jamaa na marafiki wakipata picha ya pamoja na Bahia Mahundi kwenye siku yake ya kuzaliwa .
(Picha na NY EBRA mwakilishi wa Blog ya VIJIMAMBO, New York)

No comments: