Kamati ya sherehe za miaka 2 ya Blog ya VIJIMAMBO inapenda kuwataarifu kuwa Party hii ni kwa Watu wazima tu na inatanguliza samahani kwa usumbufu wowote utakaojitokea pia inapenda kuwakumbusha kuzingatia muda shughuli hii itaanza saa 1 jioni (7pm)
Asante
No comments:
Post a Comment