ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 25, 2012

MPIRA UMEKWISHA SIMBA IMEIBUKA NA USHINDI WA GOLI 2-O DHIDI YA SETIF YA ALGERIA

Mechi hii ilirushwa LIVE na Clouds TV  na iliangaliwa na watu 1,541,418 online

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (aliyeruka juu, jezi namba 25) akipiga kichwa kuelekea langoni mwa ES Setif. 
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC leo wameirarua ES Setif kutoka nchini Algeria kwa mabao 2-0 kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, uliopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na Emmanuel Okwi pamoja na Felix Sunzu.
Picha kwa hisani ya Michuzi Blog.

Mashabiki waliofurika uwanja wa Taifa

No comments: