ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 17, 2012

Jifunze Biashara na kubadili maisha yako sasa Online

Habari Wadau wa Habari,
 
Katika tembea tembea na pita pita yangu ya kujifunza huku ughaibuni niliko sasa nimekutana na kitu kizuri sana na nimependa kushea nanyi pia. Matajiri wengi wa sasa huku nje wanafanya biashara zao na kutoa masomo ya namna ya kufanya biashara kwa njia ya mtandao (Online) na pia wengi wao wamekua matajiri sana kwa njia hii. Kwakua nami najaribu kwa njia hii basi ni vizuri nikagawana elimu hii na Watanzania wenzangu.

Tafadhali chukua fursa hii kutembelea au kuperuzi mtandao huu www.wealthsmarts.com na kwa kupitia mtandao huu utajifunza namna ya kufanya biashara kwa mitandao jamii (Social Networks) kama Facebook, Twitter, Blogs n.k pia kwa wale wenye kutaka kutangaza biashara zao pia ni nafasi nzuri kwani unaweza kutuma matangazo yako kwa zaidi ya watu 2,000,000 (milioni mbili) kwa siku moja. Tafadhali chukua muda na uperuzi mtandao huo ili ujionee mwenyewe jinsi unavyoweza kufaidika.
 
Mdau Mtanzania Damu,
Dean
New York, USA  

No comments: