Karibuni wadau katika libeneke letu la wana Moro na tunapenda kutambulisha rasmi blog yetu ambayo linapatikana kupitia link hii
Tunapenda pia kukaribisha habari, maoni na matukio ya Mji Kasoro Bahari aka Morogoro kupitia barua pepe
Tunashukuru sana kwa ushirikiano wenu na karibuni sana.
Morogoro Family
One Love

No comments:
Post a Comment