Mh. Leticia Nyerere (kulia) akiwa na Linah mwimbaji ambe yuko juu Bongo kwenye anga za Bongo Flava anaetamba na wimbo wake mpya wa Fitina ambao upo juu sasa hivi Bongo nyimbo zingine ni Lonely,atatamani, angalau, sitaki kuumizwa alioimba na Sajna,wrong number alioimba akishirikiana na Barnaba, Linah ameingia Ijumaa March 2, 2012 tayari kwa kuanza Tour ya USA.
Kutoka kushoto no Julia Nyerere, Linah na Helena Nyerere walipokua Kijiji cha Swahili Beltsville, Maryland wakipata menyu.
Kutoka kushoto ni Phanuel Ligate, Mercy Ligate, Alawi na Mpwa wakiwa kijiji cha Swahili wakipata kanywaji kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Mpwa.
Toka kushoto ni Helena Nyerere, Julia Nyerere na Poromota Phanuel Ligate akiwa kwenye mazungumuzo ya Mpango mzima wa Tour ya mwanamuziki wa Bongo Flava, Linah ambae ametua Washington, DC tayari kwa kuwasha moto. Linah ameletwa na Mh. Leticia Nyerere Mbunge viti maalum (CHADEMA).
Linah (kushoto) akiwa na wanaDC Alawi (kati) na Mercy Ligate.
Linah (kushoto) akipata picha ya pamoja na Alawi.
Linah (kulia) akipata picha ya pamoja na Mercy Ligate.
Kuotka kushoto ni Mercy Ligate, Linah, na Alawi.
Mpwa (kulia) nae akiwa kwenye Kaukodak na Linah (wa pili toka kulia) wengine ni Helena Nyerere (kushoto) na Julia.
Sikiliza wimbo wa Wrong Number aliyeimba kwa kushirikiana na Barnaba
1 comment:
mmh jamani linah ndo mara yake ya kwanza kwenda nje ya nchi!ameonekana kama ana uwoga ktk picha halafu kapungua
Post a Comment