Msikilize Phanuel Ligate alikizungumuzia maisha yake alikotoka mpaka hapa alipofika na anatoa ushauri kwa wanaotaka kununua nyumba, wakati ndio huu, msikilize ni kwa nini.
5 comments:
Anonymous
said...
Big Up Mr Ligate... Asante Dj LukeJoe! This clip is excellent and I admire your efforts. Can you slipt your blog according to different professions so other wadau can know where we go for what services? Personaly I would now refer anyone who wants a crib to Mr Ligate. I ate nice sambusa last time in DC and felt shy to ask who cooks and sell them... way to go! Ligate made a point there!
Very good interview...Educative, informative and very honest.Kuna wadau wengi kwenye DIASPORA ambao wamekaa huku muda mrefu na wamepiga hatua nzuri kimaisha. Itakuwa vizuri uwe na interview kama hizi kama watu wako tayari kushare their life experience in DIASPORA.Manake kitu kukubwa ni networking na kushare information, kitu ambacho waTZ wengi hatufanyi. Ni mfano wa kuigwa...Pia unajitangaza ninini unafanya..
Bro. Phanuel, The interview was very informative and well said.As the previous commentaries stated it was a honest feedback and I believe that the knowledge you shared will be put in good use. Keep up the great job. Obed Hugh.
Asante sana kaka Ligate. Point zako zimenipanua sana kimawazo. Mimi pia niko hapa Uingereza nasomea masuala ya Software Engineering. Lakini kama ulivyosema, shule hapa ni ngumu si mchezo. Hasa katika kipindi hiki cha matatizo ya uchumi. Nina bahati kwamba nimepata shirika linalonilipia ada, bila hivyo ingekuwa tabu sana. Na hata hivyo bado stress hapa ni nyingi tu kutokana na intensity ya masomo na hali ya maisha ya hapa kwa ujumla.
Ila ndio kama hivyo ndugu yangu kitu kikubwa ni kutokata tamaa tu. Nimefurahia sana interview yako na hasa kuhusu point ya ku-focus kwenye masomo mtu unapokuwa shule. Na tuendelee na moyo huu wa kupeana mawazo ya hekima na kufarijiana kwani huku tuko safarini.
N.B. Mungu akipenda nitakuja huko Marekani kuchukua shahada zaidi, nikifika huko nitakutafuta!
This is by far one of the best real scenario interviews I have ever watched. Asante sana.
Thanks Phanuel for the good message. I believe you are a very good role model especially to the young tz people,sadly enough many of whom are not focused. There is time for everything and Phanuel alijibana na kuepuka vishawishi mpaka akamaliza shule. If there is a will there is a way. Starehe zipo na haziishi hapa duniani! Now he does what he enjoys and gets paid for it too.!! People go to school and get your education. Everything else will follow. Hata hayo makaratasi utayapata kwani wamarekani wenyewe wanapenda watu waliosoma kama Phanuel alivyosema visa zipo na watakupa as long as you are educated. Kusema kweli hii interview ni nzuri sana na vijana wote wa diaspora wanatakiwa kuiwatch and learn from it. Good job Luke!
5 comments:
Big Up Mr Ligate... Asante Dj LukeJoe! This clip is excellent and I admire your efforts. Can you slipt your blog according to different professions so other wadau can know where we go for what services? Personaly I would now refer anyone who wants a crib to Mr Ligate. I ate nice sambusa last time in DC and felt shy to ask who cooks and sell them... way to go! Ligate made a point there!
Very good interview...Educative, informative and very honest.Kuna wadau wengi kwenye DIASPORA ambao wamekaa huku muda mrefu na wamepiga hatua nzuri kimaisha. Itakuwa vizuri uwe na interview kama hizi kama watu wako tayari kushare their life experience in DIASPORA.Manake kitu kukubwa ni networking na kushare information, kitu ambacho waTZ wengi hatufanyi.
Ni mfano wa kuigwa...Pia unajitangaza ninini unafanya..
Bro. Phanuel,
The interview was very informative and well said.As the previous commentaries stated it was a honest feedback and I believe that the knowledge you shared will be put in good use. Keep up the great job.
Obed Hugh.
Asante sana kaka Ligate. Point zako zimenipanua sana kimawazo. Mimi pia niko hapa Uingereza nasomea masuala ya Software Engineering. Lakini kama ulivyosema, shule hapa ni ngumu si mchezo. Hasa katika kipindi hiki cha matatizo ya uchumi. Nina bahati kwamba nimepata shirika linalonilipia ada, bila hivyo ingekuwa tabu sana. Na hata hivyo bado stress hapa ni nyingi tu kutokana na intensity ya masomo na hali ya maisha ya hapa kwa ujumla.
Ila ndio kama hivyo ndugu yangu kitu kikubwa ni kutokata tamaa tu. Nimefurahia sana interview yako na hasa kuhusu point ya ku-focus kwenye masomo mtu unapokuwa shule. Na tuendelee na moyo huu wa kupeana mawazo ya hekima na kufarijiana kwani huku tuko safarini.
N.B. Mungu akipenda nitakuja huko Marekani kuchukua shahada zaidi, nikifika huko nitakutafuta!
This is by far one of the best real scenario interviews I have ever watched. Asante sana.
Dennis

Post a Comment