Vifaa vinasubiri michango yenu ili kusaidia wale ambao hawaja bahatika kuwa navyo nguvu moja kuchangia na kupileka vifaa viliovyopatikana. Haba na haba hujaza kibaba toa mchango wako sasa!
Msaada tunaohitajika ni fedha za kuweza kulipia gharama za usafiri kutoka UK hadi Afrika-Tanzania Zanzibar. Gharama za usafirisha ni Jumla ya £800.00
Orodha kamili ya Vifaa vilopatikana
(1) Heart monitor stand (4) Heart monitor wall brackets (3) beds complete wi th matresses and side guards
(3) matresses (4) mobile cammodes (4) Stainless steel trolleys (1) Nebuliser pack (1)Bag of plastic bed pans
1 Patient turntable 1 Wheelchair (17) miscellaneous boxes (dressings and instruments)
Natanguliza shukrani kwa wale watakaoweza kuchangia, na ni mategemeo yetu kuwa tutatoa tulichonacho ili vifaa hivi vifike nyumbani Barclays Bank. Zanzibar Welfare Association (ZAWA)
Sort code: 20-67-90 Account no. = 10063797
<<<<<<<>>>>>>
No comments:
Post a Comment