ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 30, 2012

Ujumbe wa ECOWAS watupilia mbali mkutano Mali

Ndege ya rais Alassane Ouattara yarudi Abidjan Ujumbe wa marais wa nchi za Jumuiya ya Afrika Magharibi umetupilia mbali mpango wa kukutana na viongozi wa wanajeshi waasi kufuatia ripoti kuwa kuna maandamano ya kuunga mkono mapinduzi ya serikali kwenye uwanja wa ndege katika mji mkuu Bamako. Kwa habari zaidi Bofya Hapa

No comments: