kwa kweli unakuta jamaaa mzuri kweli lakini hajui hata kuongea na demu looh embu vijana muoneni sharubaro mwenzenu njoo huku kaka utakula cheki zetu za maboxy
wewe hujui kwamba kuna makabila kwamba hawana R Na L katika lunga zao so usimlazimishe mtu atumiye Lugha ambayo ulimi wake umekulia katika lugha hizo, usijifanye kujua jua sana, ni kiswahili na kingereza kama unakijua ndo hizo tu lugha zako lakini kuna watu kama mimi sharaballo ninazungumza lugha 10
3 comments:
hemedy sharubaro nimekupendajeeeeeeeeee bwana njoo huku marekani watu hawajui kuongea na wanawake banaaa

Post a Comment