Advertisements

Wednesday, May 27, 2015

AAMBUKIZA UKIMWI WANAFUNZI 712 WA VYUO VIKUU.

 Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Rogers (pichani) raia wa Uganda amekiri kufanya ngono na wanafunzi 712 wa vyuo vikuu mbalimbali nchini Tanzania na Uganda na kuwaambukiza virusi vya UKIMWI kwa kipindi cha miaka mitatu. 
Rogers amesema alipogundua ana maambukizi ya HIV mwaka 2012 aliamua kulipiza kisasi kwa kuambukiza wasichana wengi kadri iwezekanavyo. Hadi kufikia mwaka huu alikwisha ambukiza wasichana 712 wote wakiwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kutoka Tanzania na Uganda. Vyuo vya Tanzania ambavyo Rogers anadai kutembea na wanafunzi wake ni CBE Dar, IFM, USTAWI, UDSM na TIA. Pia amedai kuwa kati ya wasichana wote 712 aliotembea nao hakuna yeyote aliyemrudia mara mbili wala kutumia condom. "Sikuhitaji kumrudia mtu mara mbili maana ni kupoteza muda. Nilijitahidi kadri niwezavyo kuwapata wengi ili kutimiza azma yangu ya kuambukiza mamia ya wanafunzi." alisema Rogers.

9 comments:

Anonymous said...

Sheesh, that's bad....

Anonymous said...

safi sana Nampa big up kwa vile sisi watanzania ni wapuuzi sana tunaweka sana mbele anasa na ngono kuliko kitu chochote na mitaama ya kijinga jinga.wacha tu awaabukize na naona bado waziki kuambukizwa watanzania wote duniani popote plale amen.

Anonymous said...

Ingekuwa mwanamke amelala na wanaume 712 angeeitwa malaya. Huyu mjinga ata itwaje? Na hao aliolala nao hawakujua Kama jamaa malaya?

Anonymous said...

well said angekuwa mwanamke angeambiwa Malaya sasa huyu anaitwaje?rijali kidume cha mbegu,kishoka,mwaaaaaaaaaaaafyuuuuuuuuuuuuuuu.

Anonymous said...

Kama ni kweli aisee inatisha sana. Ukimwi si aliambukizwa na mtu mmoja; kuna logic gani ya kulipiza kisasi kwa kuambukiza wengi. Na hao 712 nao wakiamua kufanya kama yeye itakuwaje. Alaaniwe huko aliko huyu mtu.

Na wewe anonymous wa 4:53PM unayeshabikia jambo hili nina mashaka na IQ au reasoning yako...

Unknown said...

Sio mbaya mnaweka pesa mbele ndo dawa yenu

Anonymous said...

Akamatwe na awekwe jela. How can a person proud to kill people bado watanzania mnaona no sawa?

I can tell you! Hiyo network iliowekwa na huyo mjina inaweza kukufikia wewe, nduguyo au rafiki yako kwa sababu hao walioambukizwa ni ndugu, jamaa na marafiki zetu na tunakaanao mtaani.

Mbaya zaidi hawajui kama wameabukizwa au la kwa hivyo watazidi kuambukiza kwa hiyo sio jambo la kufurahia hata kidogo.

Kama ni mganda na anakaa Tanzania akamatwe na afungwe jela.

Anonymous said...

Ujinga huo, akamatwe afungwe jela