Naibu
Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bwana, Longinus Rutasitara akila
kiapo mbele ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es
Salaam leo.Wa (pili kushoto anayeshuhudia) ni Katibu Mkuu Kiongozi,
Balozi Ombeni Sefue na (wa tatu kushoto) ni Karani wa Baraza la
Mawaziri, Bwana Gerson Mdemu. |
1 comment:
Suti imekuwa ndogo alivokuja ilimosha baada ya kuapishwa akanenepa hapo hapo vifungo havifungi usifanye mchedho na wadhifa. Na bado hajaanza kuzichota atanenepa kushinda Mkapa.
Post a Comment