ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 18, 2012

UNAKARIBISHWA

Mwimbaji  wa nyimbo za Injili Florah Mbasha  na Mchungaji Deogratias Lubala Kutoka Tanzania watakuwa wageni katika Kanisa la Huduma ya Injili kwa njia ya Msalaba (The Way of the Cross Gospel Ministries) leo Jumapili March 18, 2012.  Florah na wenzake watamtukuza Mungu kwa nyimbo.  Ibada yetu itaanza saa Saba mchana. Karibuni Wote tuje tumwabudu Mungu wetu.
 Flora atasaini CD na DVD.
 Kwa Booking za huduma Piga simu 301 305 9685 

No comments: