ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 26, 2012

PAMOJA NA MVUA KUBWA KUNYESHA THE NETWORK 3 YAFUNIKA DMV

 Wadau waliofika kwenye The Network 3 wakipata Ukodak moment kwenye kiota kipya kilichopo 1214 U St NW mitaa ya kati Washington, DC.
 Carol na Erick wakipata picha ya pamoja kwenye kiota kipya cha ULAH LOUNGE ilikofanyika The Network 3.
 Kushoto ni Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah akiwa na mashabiki wake Mercy Ligate, Helena Nyerere na Julia Nyerere kwenye kiota kipya cha ULAH LOUNGE kilichopo mitaa ya kati Washington, DC ilikofanyika Party The Network 3
 Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah (kushoto) akipata picha ya pamoja na mashabiki wake.
 Kutoka kushoto ni Khadija, Mercy, na Tamia
 Wadau wakipata picha ya pamoja walipojumuika kwenye kiota cha ULAH LOUNGE kilichopo 1214 U ST NW, Washington, DC
 Wadau wakiselebuka ndani ya kiota cha maraha cha ULAH LOUNGE
 Wadau wakipata Ukodak moment
 Telemuka mama telemuka ndio uselebukaji ndani ya ULAH LOUNGE kama wanavyoonekana wadau waliofika kwenye The Network 3
 wadau waliojumuika pamoja wakipata picha ya pamoja
 Poromota Peter Ligate akipata picha na wadau waliofika kwenye The Network 3 kwenye kiota kipya cha UTAH LOUNGE
 DMK (kati) akipata picha ya pamoja na wadau
DMK (kati) akiwa na wadau waliofika kwenye The Network 3 kwenye kiota kipya cha ULAH LOUNGE kilichopo 1214 U ST, NW, Washington, DC.

2 comments:

Anonymous said...

More TAMIA photos p/se, she like a lovely flower.

Anonymous said...

Huyo demu wa kulia ni nani simzungumzii Juli Nyerere,naomba namba yake please! yuko bomba kinoma.sio huyo Julia.Naomba nitumie kwenye email yangu najali1981@gmail.com