ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 2, 2012

Raisi wa zamani wa Gabon Omari Bongo akila starehe na Madilu system enzi za uhai wao.

1 comment:

Anonymous said...

hapo wamejirusha kwa raha zao,imependeza, hapo kuna marais watatu,Rais Bongo na mkewe(wote marehemu),Rais Sasou Nguesso ambao ni wakwe wa Bongo,pia kuna Rais Teodoro Nguema ma bodguard wake toka Moroco.waafrica hapo wamenona sio zile picha za watoto wetu na inzi machoni jamani