ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 8, 2012

Sherehe za siku ya Wanawake Duniani yafana Jijini Mbeya Viwanja vya Luanda NZovwe

 Shughuli ya maandamano Kuelekea viwanja vya Luanda Nzovwe kuazimisha Sherehe hizo
 Wanawake mbali mbali wakiwa wanaingia katika viwanja hivyo vya Luanda Nzovwe
 Wanawake wengine wakiwa wamebeba Mabango kuelekea katika sherehe za Siku ya wanawake Duniani Mkoani Mbeya
Wazee nao walikuwepo katika Sherehe hiyo ya wanawake Duniani 
Mheshimiwa Geoffrey George Anania aliye valia koti jeusi na tshirt nyeupe pia alikuwepo kuwasindikiza wanawake katika sherehe yao.

 Mtoto Huyu akiwa Bega kwa Bega na wazazi katika kuazimisha siku ya wanawake Duniani Jijini Mbeya katika viwanja vya Luanda Nzovwe
 Baadhi ya vikundi vya kina mama vya Vikoba Jijini Mbeya 
 Mgeni Rarmi katika sherehe hizo akikagua baadhi ya mabanda wakati wa sherehe hizo
 Meza kuu
 Afisa Maendeleo Jamii Mkoa wa Mbeya Bi. Stella Kategile akisoma risala ya kuazimisha siku ya wanawake Duniani jijini Mbeya

 Mwenyekiti  wa Sherehe hizo Bi.Mary Tolemi akitoa Taarifa kwa Mgeni Rasmi 
 Mgeni Rasmi Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Betha Swai akiwahutubia wanawake pamoja na wananchi walio fika katika Sherehe za kuazimisha siku ya wanawake Duniani Jijini Mbeya, katika viwanja vya Luanda Nzovwe.
 Wanawake  Mbali mbali katika sherehe Hizo
Wanafunzi wakiwa Wanasikiliza kwa umakini Hotuba

Picha Kwa hisani ya Mbeya Yetu

No comments: