Oganaizesheni ya ngumi za kulipwa inakupa pongezi na shukrani nyingi
kwako Rajabu Mhamnila 'Super D' kwa jinsi unavyoutendea haki mchezo wa
ngumi za aina zote za kulipwa na za ridhaa.
tunalazimika kutowa maneno mazuri na ya faraja kwako kwa kuwa umekuwa
muhamasishaji mkubwa sana wa mchezo wetu huu ambao umetengwa na
wadhamini lkn una wapenzi wengi tu katika nchi yetu ya Tanzania.
umekuwa ni msaada mkubwa sana katika kila maandalizi ya mchezo kwa
kuwasaidia waandaaji [mapromota [ ambao hupungukwa vifaa vinavyohusu
mchezo hususan glovus na kadhalika, pia umekuwa ukifuatilia mapambano
ya ngumi popote pale hata mkoani ,na huku ukiripoti yote yanayofanyika
huko ukiwa nje ya Dar es salaam kwa galama zako mwenyewe.
hali kadhalika umekuwa ukiwasaidia mabondia wa mikoani kwa kuwauzia
vifaa vya mchezo kwa bei ndogo kuliko hata ile ya madukani , hivyo
kuwawezesha mabondia hao kuwa na uwezo wa kumiliki vifaa vya ngumi
kiurahisi.
sisi TPBO.tunayo macho yenye kuona na kuthamini michango ya watu wa
aina yako hivyo tunakuahidi kukupatia cheti cha kuthamini mchango wako
katika tasnia hii ya mchezo wa ngumi , ktk wakati muafaka
utakapofika.
pia ni kwa mwakilishi wa SHIRIKISHO LA NGUMI ZA KULIPWA [WORLD
PROFESSIONAL BOXING FEDERATION LENYE MAKAO MAKUU NCHINI MAREKANI,
NITAKUWA NIKIKUPATIA TAARIFA MUHIMU ZA JINSI GANI MABONDIA WA KULIPWA
WA TANZANIA WANAINGIZWA KWENYE VIWANGO VYA SHIRIKISHO HILI KUBWA,ILI
WAWEZE KUPATA NAFASI YA KUGOMBEA MIKANDA YA SHIRIKISHO HILI KUBWA.
NINAAMBATANISHA KWAKO HATI YA UTEUZI WA KUWA MWAKILISHI WA SHIRIKISHO
HILI ILIWATANZANIA WAHABARISHWE KUPITIA MTANDAO WAKO NA WASHIRIKA WAKO
THANX IN ADVANCE
YASSIN ABDALLAH-USTAADH
RAIS -TPBO NA MWAKILISHI WA WPBF NCHIN TANZANIA

No comments:
Post a Comment