Angela Damas Kutoka Global Change Platform akielezea Mada kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi katika Semina iliyoandaliwa na TMUN 2012 (Bunge Kivuli la Vijana wa Umoja Wa Mataifa) linaloendelea muda huu katika Ukumbi wa Pius Msekwa Katika Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma
Mtoa Mada wa Kwanza Bi Rebeca Muna Kutoka Global Change Platform alipokua Akitoa maelezo ya ziada kuhusiana na Mada ya Mabadiliko ya Hali Ya Hewa katika Semina iliyoandaliwa na YUNA (Youth for United Nations Association) katika Ukumbi wa Pius Msekwa uliopo katika Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma
Baadhi ya Washiriki Kutoka Vyuo mbalimbali wakiwasilisha Nchi Mbalimbali waliohudhuria Bunge Kivuli la Vijana wa Umoja wa Mataifa katika Semina inayofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa katika Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma Asubuhi hii
Baadhi ya Washiriki wakiuliza maswali kwa Mwendesha Mada juu ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa iliyokua ikitolewa na Angela Damas katika Semina iliyoandaliwa Na Youth of United nations Associations (YUNA) katika Ukumbi wa Pius Msekwa uliopo katika Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma Muda huu
Wanafunzi Kutoka Shule Za Sekondari nao Wakiwa wamehudhuria Semina Kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hewa iliyoandaliwa na Youth of United Nations Associations katika semina inayoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa uliopo Katika Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma
Ripota Wenu nikiwa Busy Katika Kuhakikisha Kila kitu kinaenda hewani katika semina juu ya Mabadiliko ya hali ya hewa iliyoandaliwa na Youth of United Nation Association inayofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa ndani ya Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma mida hii
Baadhi ya Washiriki Kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa katika semina ya YUNA inayofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa ndani ya Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma Mida hii.PICHA NA JOSEPHAT LUKAZA WA http://josephatlukaza. blogspot.com
No comments:
Post a Comment