NY Ebra akiwa kwenye Birthday Suprise Dinner iliyofanyika Max Brewner mjini New York hapa akizimisha keki aliyotayarishiwa na marafiki zake.
Ebra akijumuika na marafiki zake NYC kwenye chakula cha jioni ndani ya mgahawa wa Max Brewner
NY Ebra katika picha ya pamoja na marafiki zake siku ya Birtday yake alipokuwa kwenye Surprise Birthday Dinner kwenye mgahawa wa Max Brewner NYC
NY Ebra akipiga picha na marafiki zake
Ndio maanake Surprise Birthday Dinner ndani y Mgahawa wa Max Brewner NYC

No comments:
Post a Comment