ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 7, 2012

MAMIA WAOMBOLEZA MSIBA WA KANUMBA, LULU YUPO POLISI OYSTERBAY

Mamia ya waombolezaji waliofika nyumbani kwa marehemu Sinza Vatican
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu wakiwa wamejumuika pamoja na wafiwa
Waombolezaji wakiwa nyumbani kw amarehemu Sinza Vatican na taarifa kwa mujibu wa mdogo wa marehemu ambae alikuwepo wakati Kanumba anakumbwa na mauti kwamba Elizabeth Michael (Lulu) alitoka chumbani ambako kulikua na ugonvi kati yake na marehemu na kumtaarifu kwamba Kanumba ameanguka, mdogo mtu alipoingia chumbani alimkuta marehemu yupo chini ndipo alipotoka kwenda kumwita daktari lakini aliporudi alimkuta Lulu ameishaondoka na sasa hizi Lulu anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay kwa mahojiano zaidi. Vijimambo itazidi kuwaletea taarifa zaidi

No comments: