Brigedia Maganga na mkewe wakimkaribisha Mashaka Bilal (kushoto) kwenye chakula cha mchana maalum kwa ajili ya Pasaka nyumbani kwao Silver Spring, Maryland leo Jumamosi April 7, 2012.
Brigedia Jenerali na Mkewe Love Maganga wakipiga picha ya pamoja mmoja ya wageni aliowaalika, Bruno Mazali kwenye chakula cha mchana kusherehekea Pasaka nyumbani kwao Silver Spring, Maryland.
Mama Maganga akiwakaribisha familia ya Kasiga
Afisa Ubalozi, Mindi Kasiga akiwa na mwanae
Jiko la Mama Maganga likiendelea kucheka na Sizya Maganga akiendelea na chachandu za hapa na pale akihakikisha chakula kinakua na radha ya kimataifa.
Kalunde Kasiga akitia saini kitabu cha wageni
Manka Kasiga nae akia saini kitabu cha wageni
Mayor Mlima akiwa na mtoto wa Mindi
Miriam Che akisaini kitabu cha wageni mara alipofika nyumbani kwa Brigedia Jenerali Maganga.
Mashaka Bilal nae akitia saini kitabu cha wageni nyumbani kwa Brigedia Jenerali Maganga.
Caroline Good ambae nae alikuwepo kwenye chakula cha mchana nyumbani kwa Brigedia Jenerali Maganga.
Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi Dr. Mkama, Bruno Mazali na Mashaka Bilal.
Kenyatta akiwa na Dr. Mkama.
Kutoka kushoto ni Manka Kasiga, Mama Kasiga na Mama Luhanga.
Wageni waalikwa wakipata chakula.
Wageni waalikwa wakipata chakula cha Pasaka nyumbani kwa Brigedia Jenerali Maganga Silver Spring, Maryland.
No comments:
Post a Comment