ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 8, 2012

RAIS KIKWETE AHANI KIFO CHA MCHEZA SINEMA STEVE KANUMBA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa.

Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo Aprili 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa.

Rais Kikwete akiwafariji wafiwa  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es Salaam leo Aprili 8, 2012 alipofika kuomboleza nao kifo hicho.



J8 &J9: Rais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho



PICHA ZOTE NA FREDDY MARO WA IKULU

No comments: