Daniel Nyalusi ataelezea historia yake kwa ufupi, nimatatizo gani anayopata anapoandika mpaka kuongoza movie, Serikali inashiriki kiasi gani katika kuchangia kuinua Bongo Movie ni kitu gani ambapo anafikiria kama kikifanyiwa kazi kinaweza kuinua Bongo Movie MSIKILIZE
2 comments:
well said!
Umeongea kweli. Kaza buti Mzee Daniel a.k.a Dean kitabu muhimu, kazi yenye kisomo ni super. tumechoka na bla bla. Thumb up.
Mdau DK
Post a Comment