ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 11, 2012

foleni ya magari kuhofia kuwepo kwa mawimbi hatari ya baharini

Magari yakiwa kwenye msururu mrefu kwenye Mtaa wa Azikiwe kulikosababishwa na hofu ya kuwepo kwa mawimbi hatari ya baharini wakati mvua ikinyesha jijini Dar es Salaam. Barabara nyingi za Jiji zilikuwa na misururu mirefu hadi usiku. (Picha na Robert Okanda).

No comments: