Marehemu Kanumba (shati nyeupe) mara ya mwisho alipokuwepo Washington, DC akipiga picha na Wadau wa DMV
Kuna habari zisizo rasmi kwamba kifo cha Kanumba kimetokana ukomvi na mpenzi wake aliyejulikana kwa jina la Lulu, kwamba Marehemu alipokua anatoka bafuni kwa kujiandaa kutoka Ijumaa usiku wa kuamkia Jumamaosi kwenye saa 6 usiku alimsikia Lulu akiongea na mwananume mwingine kwenye simu ndipo ilipotokea purukushani ya hapa na pale na Marehemu akasukumwa na kuangukia kisogo.
Sasa hivi watu mbali mbali wakiwemo wasanii wa sanaa zote na waandishi wa habari wanazidi kuwasili nyumbani kwa marehemu. Tutazidi kuwaletea habari zaidi
14 comments:
Kiukweli vijana tukipata mafanikio ni vyema kupata wenzi wetu na kutulia nao ili tujenge familia bora. KURUKARUKA SIO MPANGO ona yaliyomkuta kijana mwenzetu aliyekuwa nyota na mfano kwa jamii...........
painful
Kufa si ajabu ni ibada na lazima kila mmoja apitie
Lakini it depend on how you have die and the deeds you have been doing
Duh.. Maisha hayatabiriki...
It's very painful' vijana changamkeni mkaoe maana kijana mwenzetu ameenda bila mke. INAUMA SANA BWANA ametoa na BWANA AMETWAA.
It is really painful
Soo sad,RIP kanumba!
Ni vigumu sana kuamini kuwa kanumba hayupo. ni fundisho kweli kuwa vijana wakipata mafanikio tunatakiwa kujiheshimu kuliko kurukaruka na vimada. mapenzi yapo tu!!
is k
RIP Kanumba, Lulu mdogo wangu hilo lile fundisho kama kweli ulikuwa na kanumba bado ukawa na njemba nyingine, acha tamaa mdogo wangu unaona sasa.......
R.I.p kanumba I can't believe he's dead aki he was sucha loveably man.. Na moyo Wa ukarimu saana ametuacha very soon..jamani mungu angeweza angemrudisha kidogo tuu ili amalize kazi yake duniani..am very down ...our condolence from UK..
R.I.P S. KANUMBA
RIP KANUMBA
lulu alikuwa kweli mpenzi wako. Haiwezekani mpenzi ni chanzo mateso na hadi kufa? it is belivable. KILIO CHA MAMA YAKE, RAFIKI ZAKE, WATANZANIA. LOO? IT IS DANGEROUS.THINK TWICE IF REALLY YOU ARE THE SOURCES OF HIS DEATH.
Post a Comment