JENERALI ERNEST MWITA KIARO HATUNAE TENA
Rais Jakaya Kikwete na mama Salma Kikwete walipokwenda kumtembelea Jenerali Ernest Mwita Kiaro alipokua amelazwa Hospatalini Mwanza.
Jenerali Ernest Mwita Kiaro, Mkuu wa majeshi mstaafu wa Nne kuongoza majeshi yetu, amefariki leo aubuhi mjini Mwanza alipokua anapatiwa matibabu.
Taarifa kamili na mipango ya mazishi tutawaletea baadae mara tu zitakapopatikana .
No comments:
Post a Comment