ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 8, 2012

KIFO CHA KANUMBA KIMETIKISA DUNIA YA WATANZANIA

Watu, wasanii na mashabiki walishindwa kuaamini kifo cha Kanumba
Steven Kanumba kifo chake kimewagusa wengi.
Wasanii na mashabiki wake kila mtu ni alimlilia Steven Kanumba.
Watanzania walikumba na mshuko mkubwa juu ya kifo cha Steven Kanumba.
.Watu walishindwa kuamini waliyosikia kua Steven Kanumba sasa ni marehemu
.mwili wake ulipokuwa Mochwari
Hakuna maneno wala picha zinazoweza kuelezea mshituko walioupata Watanzani na mashabiki wa msanii maarufu Bongo, Steven Charles Kanumba R.I.P. Amin

No comments: