ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 12, 2012

Kumbukumbu za Steve Kanumba UK

 Director Renny akicheka na Steve wakati wa mazoezi
 Kanumba akiwa kazini
 Might B na kanumba wakijaanda kufanya shooting
 Steve akijiandaa kuingia kwenye Limo
 Steve akijiandaa kurekodi album yake katika studio za zamani za Urban Pulse 
 Steve akiwa na Aunty Tunu, Asha Baraka na Frank alipotembelea UK.
 Steve na Frank wakila pozi baada ya kumaliza shooting
salam,

Urban Pulse inawaletea Picha za Marehemu steve wakati alipokuja kutengeneza filamu nchini Uingereza miaka michache iliyopita.
RIP

Urban Pulse Creative

No comments: