ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 10, 2012

LINAH ALIVYOWASHA MOTO DMV

Mwanamuziki wa kizazi kipya akiwa jukwaani kwenye kiota Rio Lounge akifanya makamuzi ya nguvu.
Linah akiendelea kufanya show kabambe ndani ya kiota cha Rio Lounge kilichopo Laurel Maryland.
Linah akifanya vitu vyake
Linah akiwachengua mashabiki wake.
Linah akiimba kwa hisia kali
Shabiki akiendelea kupata Udeo kwenye simu yake
Mashabiki wakipata picha ya pamoja

VIDEO YA SHOW YA LINAH

3 comments:

Anonymous said...

kwanza honera lina kwa kuwaburudisha wana dc... pili nyinyi mapromota wake.. huyu nimsichana wa kitanzania nimesikitishwa sana na mavazi yake jukwaani.. nilimuona kabla na alikua binti anaejiheshi sasa mnapomuvalisha nguo kama yuko maggot ni ustaarabu gani? hata kama sex sells huu sio kabisa utamaduni na hapo metuangusha sana wapenzi wa muziki.. Naomba tu musimpotezee mdada wa watu. ana talent na msimuexploit the wrong way thanks..

Anonymous said...

..Wewe anony hapo juu....Umesema ulipenda show thas good We loved the show I think she is so talented and she can bring it...But Tume enda Dar kwenye Fiesta mara kibao natumemuona akivaa nguo fupi zaidi ya hiyo lakini mbon hamjasema..au sababu yuko marekani sasa mnataka kusema wana muxploit...Kwani toka lini mapromota wakamwambia Artist avae vipi kwenye stage?....inaonyesha jinsi ganu ulivyo na upeo mdogo...artist na mavazi yake ni swala la yeye na manager na team yake,,kazi ya promota ni kupromote show na artist sio kumvalisha nguo....Mbona wakivaa hivyo Kule Dar hamsemi utamaduni utamaduni....Tanzania is a Free country kila mtu na uamuzi wake wa kuvaa na kuishi vile anavyoona yeye inafaa...Kama unapenda Utamaduni saaana udumishe wewe na Familia yako....Usitake kila mtu afate utamaduni.....Linah nakushauri be free do ur thing sisi watanzania tunakusapot dada yetu ujue tu kuwa sio kila mtu atapenda kazi yako!

Anonymous said...

Ulitaka aimbe kavaa baibui??