ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 8, 2012

LINAH APAGAWISHA RIO LOUNGE

Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah akimuaga radhi jukwaani kwa show kali alipopanda jukwaani na kuanza wimbo wa Lonely kwa ajili ya kumuenzi Marehemu Steven Kanumba mwigizaji wa Bongo Movie aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Jumamosi ya April 7, 2012 nyumbani kwake Sinza baada ya purukushani na mpenzi wake.
Mashabiki waliofika kushuhudia Linah akifanya vitu vyake wakiwa kutoka kushoto ni Helena, Cici na Julia.
 Mashabiki wa Linah wakipata picha ya pamoja ndani ya kiota cha maraha cha Rio Lounge kilichopo Laurel, Maryland
 Mashabiki wa waliofika kushuhudia show ya mwanamuzikia wa kizazi kipya Linah wakipata Ukodak Moment katikati ni Mercy ambae pia alikua nasherehekea Birthday yake.
 Taji (shoto) akiwa na Kaiza nao walikuwa mashabiki waliofika kushuhudia mwanamuziki wa Bongo Flava akifanya vitu vyake.
 Shabiki na momja wa Bongo Flava Zay B Dullah akiwa makini akisubili show ya Linah ianze.
 Quizela akiwa na Dave wakipata picha ya pamoja ndani ya kiota kipya cha maraha cha Rio Lounge
 Dada yetu akipata kaglasi huku akisubili show ya Linah kuanza.
 Mashabiki wa Bongo Flava wakiwa ndani ya Rio Lounge iliyopo Laurel Maryland wakipata picha ya pamoja.
 NY Ebra akipata picha ya pamoja na Libe (shoto)
 NY Ebra akiapata picha ya pamoja na shabiki wa Linah aliyefika maalum kumshabikia muana muziki wa kizazi kipya Linah aliyewasha moto kwenye kiota cha maraha cha Rio Lounge iliyopo Laurel.
 The Walden Family wakipata picha ya pamoja ndani ya ukumbi wa Rio Lounge.

Kwa picha zaidi Bofya Read More

Picha na NY Ebra

1 comment:

Anonymous said...

alimwaga radhi kweli !!