Mwanamuziki kizazi kipya ambae yupo hapa DMV kwa show zitakazoaanza Jumamosi hii ya pasaka April 7,2012 Rio Lounge iliyopo Laurel amepoteza simu ya BlackBerry kama kuna mtu msamalia mwema ameiokota tafadhali wasiliana na Phanuel Ligate 240 605 1870 asante
No comments:
Post a Comment