ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 2, 2012

PICHA ZA SHEREHE ZA VIJIMAMBO KUTOKA KWA MDAU

 Banda la DMK Global wakati livyokua linaonekana kabla ya sherehe za Vijimambo hazijaanza
 Meza kuu inavyoonekana kwa mapambo ya Aunty Wahida anaeishi hapa DMV
 Kutoka kushoto ni Mohammed Matope, Bruno Mazali na Missy Temeke.
 Model Rose Kachuchuru
 Kulia ni mshereheshaji Sunday Shomari akizungumuza na wageni waliokua wakiingia kwenye sherehe za  Vijimambo
 Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah akipata ukodak moment
 Mjasiliamali Phanuel Ligate ambae ni mkurugenzi wa J&P Investment
 Mkurugenzi wa DMK Global, Dickson Mkama
 Restart wakiandaa meza yao
Wajasiliamali wakiwasili kupanga meza zao

Picha na Dean Nyalusi

1 comment:

Anonymous said...

Mdau Dj Luke hiyo East african Extravaganza mbona hamjatuwekea kiingilio sisi wezangu na mie.....au ni free??
mbeba box